Mwongozo wa Mwanafunzi β€” SEHEMU YA 2 Hati Hii ni ya Kumbukumbu ya Mwombaji / Mwanafunzi
← Rudi kwenye Tovuti
βœ‚οΈ SEHEMU HII ITENGANISHWE NA KUBAKI KWA MWANAFUNZI KAMA KUMBUKUMBU NA MWONGOZO βœ‚οΈ
STTC Logo

SUPA / OUT University & OUT

PROGRAMU ZA UALIMU NA DIGRII KUPITIA MFUMO WA SUPA

Anwani: P.O. Box 240, Singida | Tovuti: www.singidattc.ac.tz | Mfumo wa Udahili & Support (SUPA)

OUT Logo
SEHEMU YA 2: KIONGOZI NA MAELEZO MUHIMU KWA MWANAFUNZI
1. VIGEZO VYA UDAHILI (ADMISSION CRITERIA)
Kundi Kiwango cha GPA / Sifa Hadhi ya Udahili Programu Anayostahili Chuo Husika Muda wa Kuanza
Kundi la 1 GPA 3.0–5.0 / Form VI Direct Udahili wa moja kwa moja BAED, BSCED au IMPTE OUT Oktoba 2026
Kundi la 2 GPA 2.0–2.9 Foundation Programme Foundation kupitia SUPA STTC (SUPA) na OUT Septemba 2026
Baada ya Foundation Waliokidhi vigezo vya ufaulu Udahili wa Shahada Shahada husika OUT Septemba 2027
2. ORODHA YA PROGRAMU ZA MASOMO NA ADA ZAKE
Na. Jina la Programu Muda Sifa za Kujiunga Ada kwa Mwaka Malipo ya Mwezi (miezi 10)
1 Bachelor of Arts with Education (BAED) Miaka 3 Diploma GPA 3.0+ / Form VI TZS 1,550,000/= TZS 155,000/=
2 Bachelor of Science in Education (BSCED) Miaka 3 Diploma GPA 3.0+ / Form VI TZS 1,550,000/= TZS 155,000/=
3 Integrated Master’s in Primary Teachers Education (IMPTE) Miaka 3 Diploma GPA 3.0+; Shahada + Uzamili TZS 2,450,000/= TZS 245,000/=
4 Foundation Programme (SUPA Support) Mwaka 1 Diploma ya Ualimu GPA 2.0–2.9 TZS 1,550,000/= TZS 155,000/=
πŸ“Œ Angalizo la Ada: Ada za masomo zinaweza kulipwa kwa awamu za kila mwezi ndani ya miezi kumi (10) ya mwaka wa masomo.
3. GHARAMA ZA MICHANGO MINGINE YA CHUO
Aina ya Mchango Kiasi (TZS) Utaratibu wa Ulipaji
Fomu ya Maombi ya Udahili 60,000/= Mara moja wakati wa kuomba
TCU Quality Assurance 20,000/= Kila mwaka
Kitambulisho cha Mwanafunzi 20,000/= Mara moja tu
Ada ya Mitihani 10,000/= Kwa kila mtihani
Teaching Practice (Ualimu kwa Vitendo) 100,000/= Kwa kila awamu
Serikali ya Wanafunzi (OUTSO) 20,000/= Kila mwaka
4. RATIBA NA TAREHE MUHIMU ZA KITAALUMA β€” 2026
Na. Shughuli Tarehe Maelezo Muhimu
1 Mwisho wa Kupokea Maombi 30 Agosti 2026 Maombi kupitia www.singidattc.ac.tz
2 Kutangaza Waliodahiliwa 05 Septemba 2026 Majina yatatolewa kwenye tovuti ya chuo
3 Mafunzo ya Utangulizi (Orientation) 10 Septemba 2026 Vituo vya masomo katika Halmashauri zote
4 Kuanza Rasmi Masomo 25 Septemba 2026 Mfumo wa ODL: LMS mtandaoni na ana kwa ana
5 Mwisho wa Usajili wa Kozi 30 Septemba 2026 Kukamilisha usajili wa masomo yote
5. HUDUMA ZA KITAALUMA ZITAKAZOTOLEWA NA SUPA
Huduma Maelezo
Academic English Enhancement Kukuza lugha ya Kiingereza cha kitaaluma.
Digital Learning & LMS Orientation Mafunzo ya mfumo wa kujifunzia mtandaoni.
Academic Writing & Research Skills Mbinu za uandishi wa kitaaluma, insha na utafiti.
Study Skills & Exam Readiness Mbinu za kujisomea katika Distance Learning na kujiandaa na mitihani.
Academic Counselling & Mentorship Ushauri na usimamizi wa maendeleo ya masomo.
6. MWONGOZO WA MAMLAKA ZA TAASISI
Taasisi Majukumu na Mamlaka
STTC kupitia SUPA Inahusika na uratibu wa masomo ya ana kwa ana, kutoa usaidizi wa kitaaluma (Academic Support), maandalizi ya wanafunzi na ufuatiliaji wa maendeleo yao.
OUT β€” Chuo Kikuu Huria Ndiyo taasisi yenye mamlaka ya kisheria ya, kusimamia mitaala, kuendesha mitihani rasmi, kutangaza matokeo na kutunuku shahada au vyeti.